Nafasi ya Kazi: Dereva (Driver)
Muhtasari wa Kazi
TEF Consult inatangaza nafasi ya kazi kwa ajili ya Dereva mwenye weledi, uwajibikaji, na uwezo wa kuendesha magari kwa usalama na uangalifu. Muombaji atakayechaguliwa atahakikisha usalama wa abiria, mizigo, na gari, kufanya ukaguzi wa magari kabla na baada ya safari, pamoja na kutoa taarifa za matengenezo inapohitajika.
Sifa za Muombaji(Qualifications)
Mwombaji anatakiwa kuwa na sifa zifuatazo:
Umri kuanzia miaka 25 na kuendelea.
Ujuzi wa ufundi wa magari na awe na cheti cha ufundi daraja A (Mechanics Certificate).
Leseni halali ya udereva yenye madaraja C na E.
Cheti cha Defensive Driving kinachotambulika.
Cheti cha kuendesha magari maalum (faraja ya ziada).
Cheti cha NIT (National Institute of Transport) kitahesabika kama faida zaidi.
Nyaraka za Kuambatanisha (Required Documents)
Waombaji wanapaswa kuwasilisha:
Barua ya maombi ya kazi
Nakala ya leseni ya udereva
Nakala ya kitambulisho cha NIDA
CV (Curriculum Vitae)
Cheti cha LATRA
Police Clearance (Uthibitisho wa kutokuwa na makosa ya jinai)
Mahali ulipo kwa sasa (Current location)
Jinsi ya Kuomba
Mada ya barua (Subject): Maombi ya Kazi – Dereva (Driver)
Human Resource Manager
Tanzania Empowerment Forum Limited (TEF Consult)
Email: info@tef.co.tz
au kwa barua
P.O. Box 33542, Dar es Salaam, Tanzania
Or
Online Application: